Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Iran
Amri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuhusu ulazima wa majeshi nchini kujiimarisha kiitikadi, kielimu na kinidhamu sambamba na kuwapa wanajeshi vijana uzoefu wa zama za Kujihami Kutakatifu.
Habari ID: 3470584 Tarehe ya kuchapishwa : 2016/09/28